VODACOM PREMIER LEAGUE(TANZANIA)...Ni Dar Yanga; Yaivuruga vilivyo Stendi United nyumbani... Simba Mmmh! Chupuchupu Mbeya... Leo ni Mbeya City Vs Mtibwa; kazi ipo... Azam yanyukwa nyumbani...




                  J’MOSI-25/10/2014

Stendi United 0 V Young Africans 3-Kambarage

Ndanda 0 V JKT Mgambo 1-Nangwanda Sijaona

Azam 0 V Ruvu Stars 1

Kagera Sugar 1 V Coastal Union 1-Kaitaba

Ruvu Shooting 1 V Polisi Moro 0

Tanzania Prisons 1 V Simba 1-Mbeya

 

                         J’PILI-26/10/2014

Mbeya City V Mtibwa V -Morogoro

No comments: