WAKATI WA TUNZO, ZAWADI NA VYETI UKAFIKA.
 Wanafunzi kadhaa wa madarasa mbalimbali wakajikuta wakikenua meno kwa kicheko na raha zao! Hapa ni mwanafunzi wa darasa la 4, Faidha Kassim, akipokea kutoka kwa mgeni rasmi tunzo ya kufanya vizuri kitaaluma miongoni mwa wenzake kadhaa wa darasa lake.  
Wahitimu wa darasa la 7 nao baadhi yao wakajizolea tunzo na zawadi mbalimbali baada ya kufanya kwao vizuri katika nyanja tofautitofauti shuleni, kiwilaya na kimkoa. Hongera Sana 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment