MAMBO YA ARUSHA HAYA. PANAVUTIA?


Ama, kweli nyoyo zikiamua kwa dhati, kwa kweli hakuna kinachoshindikana. Ni ukorofi na ubishi tu ndio uliojazana ndani ya fikira na mitazamo yetu, ambao ndio unaotusumbua wakati wote. Hebu tazama hizi picha mbili jinsi zinavyovutia machoni. Utadhani ni huko nchi za mbelembele (ughaibuni) kwa wale wenzetu tunaowasifu kwa kila kitu! Huu ni msitu wa kupanda tu jirani kabisa na ofisi za NSSF-Arusha. Yaani, ni raha tupu.

No comments: