KIVAZI CHA MWAKA MPYA!

Wakwetu, huyu ni swahiba wangu kwelikweli, Arusha mjini. Anaitwa Daudi Mapande a.k.a Makingo boy. Lakini hiki kivazi chake ndicho kilichoniacha hoi! Nimeshindwa kuelewa huu ndio mwondoko gani hasa wa kimavazi, na hasa kwa wakati huu ambapo Arusha mvua zinanyesha! Au haya ndio mambo ya kuielekea New Year

Hebu tazama mwenyewe uone!

                             Makingo boy in action, Arusha!

 

No comments: