VIFAA VYOTE HIVI VINAMSUBIRI YEYE ILI AVITIBU HADI VIPONE, KISHA VIRUDI KWA WENYEWE VIKAENDELEE NA KAZI!


Kijana Saidi Miraji Idd 'baba Neema', maarufu zaidi kwa jina la fundi Saidi, wa jijini Arusha akiwa ofisini mwake kwenye dawati la ufundi, akiwa amezungukwa kila upande na vifaa vya aina mbalimbali vya umeme akipambana navyo kuyajua matatizo yake na namna ya kuvifufua na kuviponya. Big Up sana, swahiba. 

No comments: