HAYA HASA NDIO MFANO WA AINA YA MAJINA YETU YA ASILI. WEWE UMELIPENDA LIPI ZAIDI KATI YA HAYA?



Ni ndani ya Wilaya ya Arusha Vijijini (Arumeru), Mpini Wa Shoka uliinasa orodha hii ya kuvutia kwenye ubao wa matangazo (notice board) wa Kijiji.....



 

Haya ni kwa uchache tu. Orodha ilikuwa na idadi ndefu ya majina, yapatayo 150.  Na wewe kwenye kabila lenu mnayo majina yenu ya asili kabisa mfano wa haya? Au na ninyi ni zoazoa tu, msiokuwa hata na majina yenu ya asili ya ukoo! Bendera fuata upepo!  

No comments: