HOSPITALI YA MKOA-MTWARA

Pitisha jicho japo kwa haya maeneo machache tu. Hapa ndio hospitali Kuu ya Mkoa wa Mtwara (Ligula Hospital). Nilifika kumjulia hali mmoja wa wenyeji wangu (Bwana Emmanuel) aliyeumia mguu wakati yeye pamoja na familia yake walipokuwa wakijaribu kuokoa vyombo mbalimbali ndani ya nyumba yao ilipoingiliwa na mafuriko ya maji ya mvua.  



No comments: