BADO TUPO NDANI YA MAAFALI YA KIDATO CHA 6-OLD MOSHI SEKONDARI.....
Kiongozi mkuu wa wanafunzi Charles Gidabit Gisinyaw (aliyevaa kizibao) akiwa pamoja na baadhi ya viongozi wenzake, Saidi Rajab, Mohammed Hassan katika meza kuu
Mkuu wa shule ya Old Moshi Bwana Fanuel Angalo mwenye koti la kijivu kushoto pamoja na mwakilishi wa mgeni rasmi katika maafali hayo ya 49 Bwana Emanuel Cosmas Kavishe wa Trust Bureu de Change ya mjini Moshi mwenye miwani kulia wakimtazama mwanafunzi asiyeona jinsi anavyoweza kusoma kwa kutumia mashine na karatasi maalumu.
Kitengo cha burudani nacho kilikuwepo....
Mwongozaji wa shughuli hiyo (MC) Bwana Lisapita R. Egidi akiwa kazini....
Mwakilishi wa bodi ya shule akitoa neno...
Mkuu wa shule Bwana Fanuel Angalo naye akisema neno
Katibu wa wanafunzi Mohammed Hassan akisoma dua
Mambo ya shairi haya. Leonard Philipo Kabelele (kushoto) akitiririsha shairi lililojaa ujumbe mzito kwa wahitimu wa kidato cha 6
Sehemu ya wahitimu wa kidato cha 6 wakisikiliza kwa makini
Kiongozi mkuu wa wanafunzi Charles Gidabit Gisinyaw akisoma risala yake
Kiongozi Saidi Rajab naye alipata fursa..
"....mtoto wa kiume jikaze tu, kakamaa japo maisha yeshakataa" Hii ni sehemu ya mistari iliyopo ndani rap kali kutoka kwa wanafunzi hawa watatu Abednego Jackson, Jackson Francis na Edwin Tarimo, wakati wa mojawapo ya nafasi za kutoa burudani
Bado naendelea kukudondoshea. Nipe
tu uvumilivu na subira ya moyo wako ili niweze kukumwagia kila kitu juu ya
maafali haya, japo nimebanwa kidogo na majukumu mengine. Endelea tu
kutega jicho lako kila mara
No comments:
Post a Comment