MAWAKALA WA PEMBEJEO
Hili ni mojawapo ya maduka ya mawakala wa pembejeo mkoani Arusha. Hapa ni eneo la Sanawari ya Juu
Na huyu ndiye wakala mwenye duka hili. Anaitwa Bwana Masawe (Massawe Mkulima Agrovet) ambaye anajituma kwelikweli ili kuhakikisha pembejeo zinawafikia wananchi katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Arusha. Hekaheka za usambazaji wa pembejeo za kilimo kwa sasa ndiyo zimepamba moto.... Na Mpini Wa Shoka uko bega kwa bega na mawakala hawa katika kuhakikisha zoezi hili linafanikiwa.
No comments:
Post a Comment