Ni kajimji kadogo ambako kapo pembezoni mwa barabara ya Arusha-Simanjiro-Kiteto. Jirani kabisa na Mji wa Mirongoine... Mpini Wa Shoka ulitembelea hapa ghafla tu.
Huyu ni fundi wa ujenzi akiwa amekaa kwenye power tiler ya wanakikundi wa kijiji...
Biashara ya dizeli na petroli...
Kikao siyo lazima mkae kwenye viti au majamvi! Hata mkisimama wima kinaendelea tu.
Panaendelezwa kwa majengo mengi mapya, ingawa hatari iliyopo ni endapo kazi ya utengenezaji wa barabara (kuweka lami) itakapoanza, basi majengo mengi ya pembezoni mwa barabara huenda yakavunjwa.
No comments:
Post a Comment