STENDI; NGARAMTONI YA JUU-ARUSHA

Mji wa Ngaramtoni ni mji maarufu uliopo katika barabara Kuu ya Arusha-Namanga...Mpini Wa Shoka ulipita hapa 

Mojawapo ya majengo ya biashara yaliyopo ndani ya stendi hii  





Kwa sehemu kubwa stendi hii hutumika na mabasi madogo (daladala), lakini pia wafanyabiashara wa kila aina wapo hapa kwa ajili ya kutoa huduma...  




Wakina mama Lishe (mama Ntilie) na akina baba Lishe nao pia wapo wengi tu wa kutosha 




Kwa hakika, ni stendi kubwa na nzuri, lakini...

...tatizo kubwa la stendi hii ni hali hii inayojieleza vema kwenye picha hii, ambayo imetapakaa ovyo kila mahali kama vile hakuna wahusika wowote wale wanaoshughulikia suala zima la usafi wa eneo la stend!

No comments: