Vibanda vya biashara za aina mbalimbali kwenye
uwanja wa mnada (Sokoni), uliopo jirani tu na Ofisi za Kijiji cha Ilkiushin,
wilayani Arusha (Arusha Vijijini)- Ngaramtoni ya Juu. Kwa mujibu wa wenyeji
wenyewe, hapa mnada hufanyika kila siku ya Alhamisi.
Mandhari ya kuvutia na mashamba makubwa yanayolizunguka
eneo la Ofisi za Kijiji cha Ilkiushin.
Nyumba hizi zilizopangiliwa vema kwenye mwinuko
mkali, zipo Kilometa nyingi sana
kutoka katika Ofisi za Kijiji cha Ilkiushin. Hapa, Mpini Wa Shoka
ulifanya vitu vyake, ili kukusogezea jirani na jicho lako…
No comments:
Post a Comment