MBAUDA; ARUSHA

HAPA NI MAENEO YA KITUO CHA DUKA LA DAWA; INGAWA WENGINE WANAPAITA PARADISO....

 

pamechangamka vilivyo kwa makazi, pilikapilika na mihangaiko kibao

Hapa vyombo vya usafiri vinapita kama risasi. Na ajali hapa siyo kitu cha kuuliza polepole...

No comments: