HOSPITALI YA MOUNT MERU-ARUSHA; MAJENGO MAPYA YA WODI MBALIMBALI NA OFISI YAKAMILIKA; YAANZA KUTUMIKA...

Unapoingia tu kwenye lango kuu (main gate) la hospitali hii, mkono wako wa kulia utayaona vema majengo haya....


                                          Yanavyoonekana kwa nje




Ngazi za kupanda na kushuka kwenda kwenye wodi zilizopo juu, na hasa za wanamume...




Veranda (Coridors) nje ya wodi



Ofisi za wauguzi na vyoo pembeni mwa wodi





Maelekezo mbalimbali na mbao mpya za matangazo....



Big up sana kwa mkandarasi kwa kazi nzuri ya kuvutia. Lakini Mpini Wa Shoka unatoa dukuduku lake kwamba "isije ikawa ni hadithi nzuri ya majengo yanayovutia kwa macho, lakini huduma kwa wagonjwa zikawa ni duni na za ovyo tu zilizojaa kila aina ya harufu ya rushwa!"







No comments: