BARABARA YA NJIRO TENA! JIRANI JIRANI KABISA NA ENEO ILIPOTOKEA AJALI INAYOONEKANA KWENYE PICHA ZA HAPO CHINI! HILI NI GARI LA WASIMAMIZI WA UJENZI WA BARABARA. NILIPOFIKA HAPA NA KUJARIBU KUCHUKUA PICHA HII, BAADHI YA WATU WANAOONEKANA PEMBENI YA GARI HILI WAKATAKA KUNIGEUKIA 'mbogo' ETI NI KWA NINI NAPIGA PICHA! NDIPO NIKAGUNDUA KWAMBA BAADHI YAO WALIKUWA WAMEKWISHALEWA POMBE VICHWANI, NA MMOJAWAO HUENDA NDIYE 'aliyelibwaga' NDANI YA MTARO HUU WA MAJI, UNAOENDELEA KUJENGWA KWA KUSAKAFIWA NA KUWEKEWA VIGAE KWA PEMBENI!



No comments: