KWANI SHIDA IKO WAPI! JUU YA BONETI LA GARI, TUNAJIPIGIA KEKI YETU KWA RAHA ZETU!



Ni usiku nje ya ukumbi wa jengo la CCM Mkoa wa Arusha, Mpini Wa Shoka uliwanasa vijana hawa wakiamua 'kuitandika' juu ya boneti la gari keki yao waliyopewa zawadi kwa kazi nzuri waliyoifanya kama sehemu ya kamati ya maandalizi ya harusi ya swahiba wao, Mohamed Hussein Dudu wa Daraja Mbili-Arusha town. Kutoka kushoto ni Omary, Yahaya, Abbasi.....  



Hapa kila mmojawao na kipande chake mkononi baada ya kuimaliza iliyokuwa juu ya boneti la gari hili walilosimama pembeni mwake. Utamu wa keki ni mate yako tu!

No comments: