Mpini Wa Shoka ndani ya mitaa ya Mji wa Mtwara. Hapa ni katika baadhi ya maeneo ya Chikongola...

Nyumba na Makazi ya wenyeji...





Wakati wa hekaheka za vurugu juu ya habari ya gesi, mojawapo ya maeneo yaliyoathirika ni hapa Chikongola... 

Hapa zilikuwepo ofisi za Chama cha Mapinduzi-CCM. Zilichomwa moto na wananchi katika sakata hilo. Sasa ndio ujenzi mpya wa ofisi hizo umeanza tena, kama unavyoona udongo huu ni kazi ya uchimbaji wa msingi...




Matofali yakiwa pembeni tayari kwa ujenzi huo wa ofisi hizo...





Hawa ndio maswahiba walionichukua katika maeneo mbalimbali hadi tukatua hapa Chikongola. Kutoka kulia ni Shafii Ndege na mtoto Shyrose Mohamed, Zakaria, Pwiri na Mohamed Massanga (baba wa mtoto Shyrose), ambaye nyumba inayoonekana kwa nyuma ndipo nyumbani kwao. 



No comments: