Kwa wewe ambaye picha iliyomo ndani ya Ubongo wako 'imechora' mandhari ya maghorofa marefu pamoja na soko kubwa la Kariakoo pekee, NIKIKWAMBIA HAPA NI NDANI YA DAR ES SALAAM najua unaweza ukaanza kunikatalia! Muda wa jioni jioni hivi:- Hapa Mpini Wa Shoka ulikuwa maeneo ya Tegeta kwenye kiinuko cha SalaSala, ukawa unayatazama kwa chini maeneo ya Bunju, Msasani, Kawe na vitongoji vyao hadi kuelekea Boko-Ununio njia ya kuelekea Bwagamoyo(Bagamoyo)...



Msitu kama bush vile! Aah, wapi! Hapa siyo kijijini... Hapa ni Bongo Dizim.




Tegeta hiyo..




Bahari ya Hindi kwa mbaaaaaaaali. Fukwe ya Msasani

No comments: