HUU NDIO UKWELI HALISI...Katiba mpya iwe ni kwa ajili ya raia wa Kawaida! Je inawezekana? Au ndio porojo tu za akina pangu pakavu....!


Wakati wewe unapolalamika kwa bidii zote juu ya shida ya maji hapo 'town' kwako, hebu mwone huyu ametoka kuyasaka maji km za kutosha kwa mkokoteni unaokokotwa kwa punda! Hapa ni eneo la Bwawani lililopo jirani tu na yalipo machimbo ya madini ya Mbuguni-Simanjiro. Japo kamera yangu ilipata tabu kidogo ya kunasa vema, lakini naamini jicho lako linauona ukweli


No comments: