BINTI WA MPINI WA SHOKA, KATIKA POZI KALI ZA KUKATA NA SHOKA....


 

Anaitwa Sumaiyah Jigge; binti yangu mdogo, mkazi wa Njiro Arusha. Bado ni mdogo sana. Lakini wakati nilipokuwa najaribu kumpiga picha nilishangaa kumwona akiniwekea pozi kali za kupigwa picha kama hivi! Hizi ni picha chache tu kati ya pozi nyingi alizokuwa amenioneshea; nikachoka kabisa... lakini malapa (makobazi) aliyokuwa ameyavaa miguuni ni siri ya moyo wangu...  

No comments: