ETI JAMANI! HUU MBONA NI UONEVU?


 

Mpini Wa Shoka ulimnasa swahiba huyu mkazi wa mtaa wa Jamhuri (Mtaja)-Arusha Town akijivinjari hapa na pale juu ya kiji-baiskeli hiki kidogo. Anaitwa Fredy Mbaga a.k.a Fedro Star. Nilishindwa kuelewa ni kiji-baiskeli cha mtoto wake, au ndio cha kwake mwenyewe! Na hapo mbele ya baiskeli ndipo anakobebea mboga na matunda ya familia akitoka sokoni, au? 

No comments: