UNAWEZA UKAFIKIRI NI MAFUNDI WAKIWA KAZINI WAKIJARIBU KUPAMBANA NA INJINI YA GARI FULANI ILI IWEZE KUPONA; LAKINI WAPI....!


Mpini Wa Shoka ulimnasa mmiliki wa kituo cha kukusanya chuma chakavu (scrapers) kilichopo mtaa wa Jamhuri-Daraja II Arusha bw. Felichsim (Felii) mwenye shati jeupe akiwa na jamaa zake kadhaa wakipambana kujaribu kuisambaratisha injini ya greda (Caterpilla) iliyokufa ili waweze kuipima kama chuma chakavu....

No comments: