BURNLEY 1 VS CHELSEA 3
DAH! Yaani ni kama zali vile; tumekutana tena ndani ya chama letu la jadi..!
Baada ya pambano kumalizika, Wakongwe wawili wa Chelsea, mlinzi wa kati John Terry na mshambuliaji Didier Drogba ambaye amerejeshwa tena ndani ya timu hiyo na meneja Jose Morhino, wakibadilishana mawili matatu... Utu uzima dawa.
Vitu namna hii huwa ni adimu na ni vitamu kwelikweli dimbani. Alex mguu juu; Belleti kule...
J'mosi-23/08/2014
14:45 Aston Villa v Newcastle-Vill
Park
17:00 Chelsea v Leicester-Stamford Bridge
17:00 Crystal Palace v West
Ham-Selhurst Park
17:00 Southampton v West Brom-St.
Mary’s Stadium
17:00 Swanwea v Burnley FC-Liberty Stadium
No comments:
Post a Comment