Ama kweli, bado ni msimu wa shida na tabu tupu kwa mashabiki wa MAN 'U'. Baada ya wiki iliyopita kujiokotea pochi la mwendawazimu jalalani; wiki hii yaonja 'joto ya jiwe'; yaogeshwa 'dala'. Man City ikiwa nyumbani, yashindwa kutamba mbele ya vijana wa Mourinho; Lampard aiokoa isiadhirike...




                                J’PILI-21/09/2014

Man City 1 V Chelsea 1-Etihad Stadium

T.Spurs 0 V West Brom 1- White Hart Lane  

Everton 2 V Crystal Palace 3-Goodison Park

 


            Leicester City 5 V Man United 3-King Power Stadium

Wachezaji wa Leicester City (wenye bluu) wakishangilia mojawapo ya mabao yao, huku wachezaji wa Man U wakishuhudia nyavu zao zikishughulikiwa... Kwenye mechi hii, nahodha Wayne Rooney aligeuka kuwa mbogo kwelikweli kwa wachezaji wenzake baada ya mvua ya magoli kuwaelemea 



Man City 1 Chelsea 1

No comments: