ENGLISH PREMIER LEAGUE... Liverpool ni majanga matupu; Pamoja na Super Mario Baloteli 'kucheka' na nyavu, lakini yakubali kipigo; yapigwa 'tripple'. Watoto wa Wenger wawasha moto; Wamfumua mtu kisawasawa ugenini..... JUMAPILI, ni shughuli nzito kati ya mabingwa watetezi, Man City, dhidi ya kikosikazi cha vijana wa Jose Mourinho... Man United wapo ugenini; Je, watauendeleza ukali wao waliouanza wiki iliyopita..?



                                J’MOSI-20/09/2014

QPR 2 V Stoke City 2 -Loftus Road Stadium

Aston Villa 0 V Arsenal 3 -Villa Park

Burnley 0 V Sunderland 0 -Turf Moor

Newcastle United 2 V Hull 2 -St. James Park

Swansea 0 V Southampton 1 -Liberty Stadium

Westham United 3  V   Liverpool 1 -Boleyn Ground

Metsu Ozil wa Arsenal (kulia) akikabiliana na mmoja wa walinzi wa Aston Villa. Arsenal ilipiga 3-0



J’PILI-21/09/2014

 Leicester V Man United-King Power Stadium

T.Spurs V West Brom- White Hart Lane

Everton V Crystal Palace-Goodison Park


                   Man City V Chelsea-Etihad Stadium
 Mpiga mabao hatari, Diego Costa wa Chelsea akishangilia mojawapo ya mabao yake katika ligi kuu ya Uingereza. Je, ataweza kupeleka furaha kwa mashabiki wa timu yake ugenini? Ni katika 'The big match'
 

No comments: