MpiniWaShoka
DAIMA, WAKATI WOTE NI KAZI TU na Jigge junior!
CHAMPIONS LEAGUE... Watoto wa Wanger wanyukwa na wajerumani... Super Mario Baloteli Aing'arisha Liverpool Nyumbani... Real Madrid ya Christiano Ronaldo na Gareth Bale ni hatari tupu; yapiga mtu 'dala' (tano)..
Galatasaray 1 V Anderlecht 1
Benfica 0 V Zenit St. Petersburg 2
Monaco 1 V Bayer Leverkusen 0
Juventus 2 V Malmo FF 0
Liverpool 2 V Ludogorets 1
Olympiakos 3
V
Atletico Madrid 2
Real Madrid 5 V FC Basel 1
Borussia Dortmund 2 V Arsenal 0
Nahodha wa Liverpool ya Uingereza, Steven Gerrad, akikwamisha wavuni mkwaju wa penati
Ni raha tupu. Christiano Ronaldo na Gareth Bale wa Real Madrid ya Hispania wakishangilia mabao...
Carlos Teves na Patrice Evra wa Juventus ya Italia nao wakifurahia ushindi..
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment